Wewe ndiye mwenyeji, kwa hivyo unaamua ni kiasi gani cha gharama ya tukio lako. Unaweza hata kufanya bei ya tukio lako iwe mahususi kwa tarehe au wakati fulani, maadamu hakuna mtu aliyeweka nafasi bado.
Ukiruhusu watoto na/au watoto wachanga kuhudhuria tukio lako, unaweza pia kufanya bei zao ziwe mahususi hapa.
Hii itasasisha bei ya awamu zote za tukio lako za siku zijazo na ambazo hazijawekewa nafasi kwa sasa (isipokuwa zile ambazo umewekea bei mahususi).
Ikiwa awamu ya tukio lako bado haijawekewa nafasi, unaweza kuweka bei mahususi. Mara baada ya mgeni kuweka nafasi, huwezi tena kurekebisha bei.
Hii itasasisha bei ya awamu zote za tukio lako za siku zijazo na ambazo hazijawekewa nafasi kwa sasa (isipokuwa zile ambazo umewekea bei mahususi).
Kwa vidokezi kuhusu kuchagua bei kwa ajili ya tukio lako, angalia mikakati yetu ya bei.