Kutoa taarifa halali na sahihi za akaunti ni muhimu sana ili kuunda mazingira ambapo Airbnb, wenyeji na wageni wanaweza kuaminiana.
Ikiwa unashuhudia au unatendewa kwa njia ambayo inakwenda kinyume cha sera zetu, tafadhali tujulishe.
Ingawa miongozo hii haijumuishi kila hali inayowezekana, imebuniwa kutoa mwongozo wa jumla kwa sera za jumuiya ya Airbnb.