Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Weka mahali unakoenda, tarehe za kusafiri na idadi ya wageni unapotafuta kwenye Airbnb na maeneo yote yanayoonyeshwa yanapaswa kupatikana kwa ajili ya safari yako.
Wenyeji kwenye Airbnb hutoa sehemu nyingi anuwai. Unaweza kuweka nafasi ya sehemu yote, vyumba vya kujitegemea, vyumba vya hoteli na vyumba vya pamoja.
Angalia sehemu ya sheria za nyumba ya maelezo ya tangazo ili kujua ikiwa unaweza kuleta mnyama kipenzi wako au ikiwa mwenyeji ana wanyama vipenzi kwenye nyumba hiyo.
Wageni wanaweza kuingia kwenye nyumba wakitumia kisanduku cha funguo, kufuli mahiri, kicharazio, au kwa kupata ufunguo, wakati wowote baada ya muda wa kuingia uliowekwa.
Matangazo ya kipengele cha Kuweka Nafasi Papo Hapo huwaruhusu wageni wanaokidhi matakwa ya Mwenyeji kuweka nafasi mara moja, badala ya kulazimika kutuma ombi ili liidhinishwe.
Tathmini zinaweza kuwekewa lebo ili ziweze kutafutwa kwa urahisi. Chunguza aina za maneno ya kunukuu za tathmini na upate taarifa muhimu kutoka kwa wageni wa zamani.
Baadhi ya Wenyeji wamefanyia majaribio kasi ya Wi-Fi kwenye sehemu zao na wamejumuisha matokeo ya jaribio la kasi ili kukusaidia kuamua ikiwa inakidhi mahitaji yako.
Je, una uhakika kuhusu mipango yako ya kusafiri na ungependa kuokoa pesa? Kuchagua chaguo la kutorejeshewa fedha kunaweza kukupatia bei iliyopunguzwa kwenye safari yako.
Halisi ya Airbnb ni matukio ya kipekee kabisa yanayoandaliwa na watu mashuhuri kabisa ulimwenguni kwenye muziki, filamu, televisheni, sanaa, michezo na kadhalika.