Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Ilani hii inajaliza Sera yetu ya Faragha na inatumika kwenye uchakataji wa taarifa binafsi za ziada ambao unafanywa na sisi ili kutoa Bima ya Kuweka Nafasi kwa Wageni wa Airbnb kupitia tovuti ya Airbnb.
Ikiwa ulinunua bima na unaishi nchini Australia, Austria, Kanada, Ufaransa, Ujerumani, Ayalandi, Italia, Uholanzi, Ureno, Uhispania, Uingereza, au Marekani, ukurasa huu unakuhusu.
Jisajili kwenye mpango huo na upate maili 1 kwa kila dola (au sarafu sawa ya kigeni) iliyotumika kwenye nafasi za kukaa za Airbnb zinazostahiki, bila kujumuisha kodi na ada.
Pata maelezo kuhusu majukumu ambayo Wenyeji, wageni, wasimamizi wa nyumba, tovuti za kuweka nafasi na mawakala wa ukodishaji wanatakiwa kuyatimiza kulingana na Kanuni ya Maadili ya NSW katika Sekta ya Malazi ya Upangishaji wa Muda Mfupi.
Tunafanya API yetu ipatikane ili kuwezesha Huduma tofauti za Wenyeji na utendaji mwingine kwenye au kuhusiana na matumizi ya Tovuti ya Airbnb (kila moja ni "Programu ya API").